MUSICIAN/WRITTER/BEAT MAKER FROM EAST AFRICA(TANZANIA) SONGA AMEACHIA VIDEO MPYA ILIYOONGOZWA NA MO SKILLZ.
UJIO HUU WA SONGA NI MWENDELEZO MZURI WA KUONYESHA KUWA HIP HOP IS STILL ALIVE NA KIBAO CHENYEWE KINA UJUMBE TOSHA KWA MSIKILIZAJI.

"JAMAA MPENDA AMANI, ANAYESAIDIA WATU NA KUISHI VYEMA NA JAMII ILIYOMZUNGUKA BILA KUJALI UTOFAUTI WOWOTE.NAAMINI WEWE NI MMOJA KATI YA JAMAA WA NAMNA HIYO PIA" MANENO YA SONGA.

VIDEO PIA INAAKISI MICHORO YA GRAFFITI AMBAYO NI MOJA KATI YA NGUZO ZA HIP HOP.NI DHAHIRI KUWA TAMADUNI HII INASHIRIKISHA BAADHI YA ELEMENT ZAKE MUHIMU KAMA MOJA WAPO ILIVYOONYESHWA KWENYE VIDEO HII.


WASILIANA NA SONGA KWA MALENGO YA KIBIASHARA AU MAULIZO KUPITIA NAMBA +255 656337757.




UNGANA NASI KATIKA TOVUTI YETU MARIDADI KABISA KWA MASWALA YOTE YA MUSIC,HABARI,MAISHA,MAKALA YANAHUSIANA NA HIPHOP KILA SIKU.
KWA UJUMBE AU USHAURI USISITE KUTUTUMIA MAONI YAKO NA UTAJIBIWA MDAU WETU WA DHATI.


HOT SWAHILI HIPHOP
WHATSAPP +255714131936 & SMS
EMAIL: hotswahilihiphop@gmail.com
MOBILE: 0682319039
TWITTER @hotswahilhiphop
INSTAGRAM :@hotswahilihiphop
FACEBOOK PAGE:https://www.facebook.com/hotswahilihiphop/

New Video : Songa - Yule Jamaa

MUSICIAN/WRITTER/BEAT MAKER FROM EAST AFRICA(TANZANIA) SONGA AMEACHIA VIDEO MPYA ILIYOONGOZWA NA MO SKILLZ. UJIO HUU WA SONGA NI MWENDE...
E-BREEZY SENDINTG MY REGARDS EP REVIEW.
Born in famous town of Kariakoo in Dar-es-Salaam, Tanzania currently grinding hard in Silver spring,Md,20906 in Maryland. Ibrahim Max a.k.a E-Breezy finally gives his fans a surprise with the release of “Sending my Regards.” Ep for free.

The 5-track Ep makes appearance of guest fellow artists like Stickerz and Fei. Songs like “Killer” are strong on their own because they reflect the themes of hustling and keeping hard work alive. “Najivunia” for instance opens with Mwalimu Nyerere speech on leadership affairs to re unite people to strengthen unity as a major task of a leader.”

The EP is refreshing too simply because Ibrahim Max “beautiful words” record features a lady’s voice and her vocal making the record as much dope for replay. For instance “Cheza ”featured by stickerz a cool club banger incorporated by sounds of dance hall. With slightly mid-tempo, the track speaks to a deeper meaning of love for ladies, money, drunken minds of unstressed youth clubbin all night long .Simply the Ep hits both gernes to bring about a musical taste for every one .

Ibrahim is sure to grab your ears and heart upon the first listen. Luge Paul, Big Stickerz, Adam Malimbwi & B Cube blesses the production from Sound King Studios in collaboration with Hard work Nation & Hakuna Matata Repuvlic Label.

Cover designed by Samson Laiser of Expart Design. Enjoy and let us know what you think below.

Tracklist
01. Killer - E-Breezy ft.Fey
02. Beautiful words E-Breezy ft.Maria Evans
03. Cheza - Sticker ft. E-Breezy
04. Najivunia-DMV Allstars
05. Pushin in - Slide ft.E-Breezy

Connect with E-Breezy https://www.instagram.com/imax255/

 https://twitter.com/ViceVersa009



HSHH SHORT INTERVIEW WITH E-BREEZY

 HSHH :Tueleze kwa ufupi kitu gani kinakupa msukumo wa kufanya muziki wa rap au hiphop ?

 E-BREEZY: Ni dhati kuwa nastahili kusikilizwa nini nasema juu ya mada fulani. Kila maoni, imani ya kusimamia masuala mengi ya watu hasa siku hizi kuna hofu ya kusema ukweli kuhusu mada Fulani.Nafanya muziki kuonyesha watu kuwa na sauti na msimamo na sina hofu ya kuhukumiwa kwa ukweli.


HSHH : Ukiachana na Ep yako je kuna Project(s): ulizowai fanya kabla? E-BREEZY: Kuna makala juu ya nyimbo nyingine, na freestyles kibao.


HSHH: Tutarajie nini kutoka kwako?


E-BREEZY: Zaidi ya muziki kutoka kwangu,ni kushirikiana na wanamuziki mwingine, kufanya kazi na wanamuziki zaidi,kukuza bidhaa na biashara na pia napenda kujihusisha zaidi katika sekta hii hivyo ili kujua jinsi wanavyoweza kutafuta njia zaidi kulipwa kupitia Streaming, michezo ya redio na biashara na ndio njia bora kwa mwanamuziki kulipwa. HSHH: Shukrani



HSHH EXCLUSIVE :NEW EP BY E-BREEZY

E-BREEZY SENDINTG MY REGARDS EP REVIEW. Born in famous town of Kariakoo in Dar-es-Salaam, Tanzania currently grinding hard in Silver spri...
Brand & Youth Ambassador from namba 8,Nairobi kenya #octopizo ni moja kati wa wasanii wa muziki wa hiphop Afrika Mashariki wanaofanya vizuri.Amezidi kuonyesha makali ya kipaji chake kadiri siku zinavyoenda.Hii ni video yake #Utanishoo.Enjoy More info octopizzo@octopizzo.com Instagram http://www.instagram.com/octopizzo Worldwide octopizzofoundation.org "KING !!!! ##### JUST GOT REAL AGAIN-Ni hii sheng' nilinunua nayo gari-ni HII Sheng' nilipanda nayo Ndege OCTOPIZZO utanishow? Nilikushow wee ni ####Aseyie Wuod Nyaboro -Geneva Switzerland---PESA OTAS NIGGA---" iliandikwa na moja ya shabiki yake katika mtandao wa Youtube baada ya kuitazama video jina vicmass luodollar.

VIDEO :OCTOPIZO UTANISHO

Brand & Youth Ambassador from namba 8,Nairobi kenya #octopizo ni moja kati wa wasanii wa muziki wa hiphop Afrika Mashariki wanaofanya ...


Ijumaa 23 Nov 2014, wana hip hop na wapenzi wa wadau wa hiphop, walisikiliza maada mbalimbaali na kutoa michango ya mawazo. Kati ya waliotoa mada ni Profesa Mitchel Strumpf wa Chuo Kikuu cha dar es Salaam aliyetoa mada Hip Hop Identity and its Struggles Globally, ambapo aliweza kurudi nyuma kwenye historia kujaribu kuonyesha Hiphop ilitoka Afrika na imerudi tena, Kuna nyimbo kutoka Bukoba zilizorekodiwa kwenye miaka ya 50 ambazo ukisikiliza inashangaza kwani inafanana sana na Hiphop ya leo.
  
Pia alitoa maelezo mengi kuhusu kasheshe ambazo Hip hop inapitia katika sehemu mbalimbali duniani kutokana na tafsiri ya muziki huu. Maada nyingine ilitolewa na John Kitime mwanamuziki wa Kilimanjaro Band .
Problems and Challenges in the Tanzania Music Sector,
Maada ambayo iliongelea historia ya muziki na mapokeo katika Tanzania na matatizo ambayo muziki umepitia na unapitia mpaka wakati huu. Baadhi ya mambo ambayo aliyataja ni Rushwa katika tasnia hii, matatizo ya utekelezaji wa sheria ya Hakimiliki, mahusiano ya historia ya Kisiasa ya nchi hii na muziki na wanamuziki wake, nafasi ya serikali katika maendeleo ya muziki.

Maada nyingine ilitolewa na Charlotte Hill O'Neal aka Mama C aliyetoa maada “Tuangalie tulikotoka ili kuweza kusonga mbele.” Ambapo katika maada hiyo alitoa mifano ya jitihada za wana Hiphop wa kwanza wa Marekani, katika mazingira yaliyokuwa magumu ya kukosa nafasi ya kazi zao kusikika redioni , na wakati hakukuwa na uwanja huu mpana wa internet.  
Katika maada yake hii aliongelea kuhusu kituo cha SUA (Saving Underground Artists) kilichopo Arusha na jitihada zake za kuendeleza Hiphop. Mada nyingine iliyotolewa ni  JE WANA HIP HOP WAFANYE NINI ILI KUWEZA KUTOKA ambayo ilikuwa na maelezo mengi ya kuonyesha  na kushauri njia mbadala za kuwawezesha wana HIP HOP kutoka katika mazingira yaliyopo.




KILICHOJIRI HIP HOP SUMMIT 23 NOVEMBER 2014

Ijumaa 23 Nov 2014, wana hip hop na wapenzi wa wadau wa hiphop, walisikiliza maada mbalimbaali na kutoa michango ya mawazo. Kati ya w...
                                                                                Hot Swahili ime review maisha ya msanii wa hiphop/rap Albert Mangwea kukumbusha mashabiki na wapenzi wake.Ni takribani miaka mitatu toka atoweke duniani lakini wana hiphop wamezidi kumkumbuka maradufu. Kipaji chake ndicho kilikuwa nguzo imara kilichombeba kila alipofika.Wengi wamempa ufalme wa Freestyle na hadi sasa kila rapper anayekuja hatosita kumpa heshima mkali huyo aliyewakilisha vyema kundi la EAST ZOO.
Nyimbo kama Ghetto langu,She Got A Gwani na Mikasi zilimpa nafasi kubwa marehemu Albert na kumweka katika ramani nzuri ya muziki wa Hip Hop.

IN MEMORY : ALBERT MANGWEA

                                                                                Hot Swahili ime review maisha ya msanii wa hiphop/rap Alber...





In Morogoro, a regional capital about
200 km west from Dar-es-Salaam, the
HipHop-enthusiastic youth had
the chance to show its talent on stage in the
weekly „talentshow”

a rap contest being held in the Mango Garden.
Every Sunday at 7 p.m. approximatel
20 groups of young rappers climb
the stage in competition to enter the next round. They can choose between
two different beats only and have to
show their ability to rap their message
to the sound. At the end of each mo
nth the winners are
being declared and
receive their prizes: number One is
being rewarded with a bicycle.
To rap various songs to the same sound
is not just practised for competition
on stage but also because only few can afford to have their individual beats
composed in a studio. Juma Madowe
ka has got one beat, which was com-
posed by a professional producer for
a fee of about 5.000 TSh

In 2002 he used this one as the ba
ckground sound to all his lyrics and
he had also recorded one song „Je, wa
jua” completely with beats and lyrics.
However, this tape produced by a sma
ll local studio in Morogoro lacked the
quality needed for the song to be played on the radio.
In summer 2003 though Juma Madowe
ka’s song „Sisi ni nani” was being
played on the Morogoro-based radio
„Redio Kweli” and was even listed
among the Top Ten. He had managed to
save up the 70.000 TSh
to produce the single on CD, wh
ich he then brought to the radio
station himself. Lucky enough the people
there liked and played it so that
Juma got at least some emotional satisf
action though financially there are of
course no rewards.


UNDERGROUND RAP IN MOROGORO

In Morogoro, a regional capital about 200 km west from Dar-es-Salaam, the HipHop-enthusiastic youth had the chance to sh...
"Maisha yangu nayoishi yanaakisi kile kilicho kwenye ngoma zangu kihalisia,unajua mimi nimeanza kuwaskiaz awakina Lil Wayne na hizo ndo ngoma amabazo mda mwingi zipo kichwani.Nilianza kwa kukaririri mashairi yao na kuanza kuyarudiarudia".Lakini Orbit awali amekuwa aikispit kwa kizungu meanwhile mtu akiandika kiswahili kinakuwa kimeeandikwa kile kilichopo.Ameshukuru fans wake kwa support ya ujio wake na mapokezi mazuri. Mtangazaji wa LADHA 3600 ya Efm 93.7 Dar-es-Salaam J#abi Saleh alimpa credits juu ya wimbo wake kabla ya kutoa MAKAVELI PANDA REMIX  swahili version na kusemakuwa amefanya vizur zaid ya mwenye ngoma.Angalia video yake

NEWS: INSPIRATION CARRER YA ORBIT

"Maisha yangu nayoishi yanaakisi kile kilicho kwenye ngoma zangu kihalisia,unajua mimi nimeanza kuwaskiaz awakina Lil Wayne na hizo...












Graffiti are writing drawings that have been scribbled, scratched,or painted illicitly on a wall or other surface often within public view
 Graffiti  pia yaweza tafsiri ujumbe kwa jamii aidha wa kisiasa au kijamii na ni usanii uliotegemea uchorwaji husika wa staili tofauti. Graffiti imekuja sambamba na  muziki wa  hip hop music, b-boying, na elementi zingine.


Vijana walianza kuandika majina yao kwenye kuta mbalimbali mitaani kwa kutumia vipande vya mkaa na lengo lilikuwa  kuacha alama na aina hii ya usanifu ulipewa jina “chata”, a Swahili slang term for graffiti. Staili ya uchoraji kwa mkaa ilibaki hovyo hadi mapema miaka ya  2000s  pale msouth afrika kwa jina Zaki alipofanya jitihada za kuanzisha mchoro Dar es Salaam july 2003. “CURE” ni mchoro wa kwanza katika barabara ya Old Bagamoyo Mikocheni ila kwa Bahati mbaya ,ulifutwa  na baadaye ulirudishwa lakini kinyumenyume na kugeuzwa chini juu.



Tanzanian hiphop history in general, inawataja  WCT Crew, ni crew inayojishughulisha na graffiti plus creative arts  ambapo wao wameendeleza harakati za usanifu michoro katika viunga mbalimbali vya jiji la Dar –es- salaam. WCT means WACHATA ni kampuni halali, Mejah Mbuya  ni marketing personnel, Meddy ni procurement manager, Kalasinga,ni meneja ugavi  na Local ni mbunifu mkuu. Jijini Mwanza kuna Edo amabye amejikita kwenye kuchora tattoo, Yuzzo, and Mizani 86 wapo Moshi pia wakiendeleza usanifu wa elementi hii muhimu ya HipHop.


WCT wamezidi pata attention Tanzania sababu media zimeelewa kazi zao na haina ubishi kwamba wameweka misingi chanya na imara kwa watu kwenye suala zima la GRAFFITI. WCT walifika office za East Africa TV Dar-es-Salaam kwa ajili ya kutengeneza ubunifu tofauti katika kipindi cha HOT MIX kinachoruka  Monday-Friday, 5:00 na idea ilikuwa kuleta maudhui ya rangi tofauti tofauti na maandishi yatakayosomeka kirahisi na  iliwachukua takribani masaa matano kumaliza kazi hiyo .

 






Tembelea
www.facebook.com/wachatacrew AU
www.wachatacrew.blogspot.com

HISTORIA YA GRAFFITI TANZANIA KWA UFUPI

Graffiti are writing drawings that have been scribbled, scratched,or painted illicitly on a wall or other surface often wit...
We love the vibe which KHALIGRAPH JONES delivers and no doughts that he is taking hiphop music to the next level. You must agree the man is super talented and 'If You Understand Music Then You'll Get The Business Aspect Of It' . Representing Nairobi Kenya-Code 254 KHALIGRAPH new Wanjiru and Akinyi video released about a week ago continues to receive mass airtime plus youtube views hitting up to 114,116 views. Check the video directed by Johnson Kyalo and audio produced by MOTIF presented by Blu Ink below.Enjoy!

HSHH HEADLINE

We love the vibe which KHALIGRAPH JONES delivers and no doughts that he is taking hiphop music to the next level. You must agree the...
Hii ni zawadi ya mtaa kwa fans wake kuwapa motisha zaid waweze kumpigia kura kwenye tuzo za AFRIMMA zinazotarajiwa kufanyika nchi Marekani.Dj D Ommy awetajwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengele cha Best Dj Africa akipambanishwa na madj mbalimbali tokea Kenya,Uganda,Nigeria,Angola,South Africa na Cameroon.Kupiga kura ni kama ifuatavyo. HATUA NNE (4) RAHISI ZA KUMPIGIA KURA @djdommy #AFRIMMA HATUA YA KWANZA (1) Ingia http://afrimma.com/nominees-2016/ kisha shuka kwenda chini mpaka utakapokuta pameandikwa "BEST DJ AFRICA" HATUA YA PILI (2) Chagua jina la Dj D ommy - Tanzania kisha bonyeza paliko andikwa "VOTE" HATUA YA TATU (3) Subiri majibu baada ya kuvote, (Utaona kuna kitu kinaload kwa kuzunguka baada tu ya kuvote) HATUA YA NNE (4) Utakuja ujumbe ulioandikwa "Thank you, we have already counted your vote" HAPO UTAKUA UMEMALIZA KUMPIGIA KURA @djdommy *** Piga kura mara nyingi uwezavyo*** #ASANTE You can watch The Making Of Higher (Live Version) featuring @nikkwapili @johmakinitz S/O to Brother @pancholatino @hermyb #Amani 📷 @chuichui255 Dont Forget To Vote For @afrimma & @aeausa Link kwenye Bio.

HSHH EXCLUSIVE

Hii ni zawadi ya mtaa kwa fans wake kuwapa motisha zaid waweze kumpigia kura kwenye tuzo za AFRIMMA zinazotarajiwa kufanyika nchi Mareka...
Wasanii wa Hip Hop si kwamba wanajigamba tu kuwa wao ni wataalamu wa kutumia vina, lakini pia vina hivyo vinajidhihirisha katika tungo zao. Tutuangalie tungo tuone jinsi wasanii wanavyozingatia matumizi ya vina katika.Tukianza na Profesa Jay katika wimbo wake wa Kubwa Kuliko. "Ninaposema Jay kubwa kuliko, Siko niliko ndiko liko zindiko (Yataka moyo) Ninaposema Jay kubwa kuliko, Siko niliko ndiko liko zindiko (Yataka moyo)". Tukimtumia msanii mwingine Joh Makini katika wimbo wake wa Najiona Mimi (I see me) tunaona pia matumizi ya vina yanapewa kipaumbele kama tulivyoona kwa wasanii wengine, hebu tuangalie shairi lenyewe: "Namuona Baba Mmoja Tu Juu Najiona Mimi Namuona Mama Mmoja Tu Chini Najiona Mimi Naziona chuki zao upendo najiona mimi Mabegani Msalaba Wa Ndoto Mtoto Wa Mageto Ziwe Kweli Zisiishe Kisongo Segerea Ya Keko"

Today's Review

Wasanii wa Hip Hop si kwamba wanajigamba tu kuwa wao ni wataalamu wa kutumia vina, lakini pia vina hivyo vinajidhihirisha katika tungo zao....
Wazazi wangu wako hai wote wawili lakini for years tangu mimi hapa nimezaliwa hawajawahi kuwa wanaishi pamoja,” 
“So asilimia kubwa mimi nimelelewa na bibi yangu, mama yangu, na marehemu dada yangu,” aliongeza.
Kuhusu jina lake Darassa, alidai kuwa alilipata kitambo enzi marehemu Complex yupo hai ambapo alienda kwenye studio zake na kuwakuta watu waliokuwa wakirekodi. Anasema watu hao walionekana kukosea baadhi ya vitu na yeye kuwashauri njia nzuri na hivyo kupelekea kumpa jina ‘Darassa.’
Kwa sasa rapper huyo anafanya vizuri na wimbo wake ‘Too Much.’

DARASSA ANENA MAISHA YAKE YA MTAANI

Wazazi wangu wako hai wote wawili lakini for years tangu mimi hapa nimezaliwa hawajawahi kuwa wanaishi pamoja,”  “So asilimia kubwa mimi...

Wasanii wengi wa Hip Hop wanaimba juu ya midundo ya muziki ambayo haijarekodiwa vyombo vya muziki,pia vinapigwa sambamba na wao wakiimba na wakati mwingine hurap kwa mtindo unaojulikana kama mitindo huru yaani kutoa mashairi ya papo kwa papo kwa kufuata midundo ya muziki inayopigwa au bila kuwepo kwa midundo ya miziki yaani akapela.

HSHH TIPS & FACTS

Wasanii wengi wa Hip Hop wanaimba juu ya midundo ya muziki ambayo haijarekodiwa vyombo vya muziki,pia vinapigwa sambamba na wao wakiimba...

It’s been a long time coming for #MaujanjaSaplayaz #PKP #magengemwenge  @officialkaymapacha @dottowamaujanja but after several and a couple of topping singles, the duo are finally ready to share with the world their  highly anticipated debut album entitled *#GhettoLoveAlbum.
The album comes  with features of  Mansu –Lee the under ground king from Sinza, Mkoloni of Wagosi wa Kaya,Jacob Yeyo,Damian Soul,Luena,Nikki Maujanja from Mwenge  and tackling the production wise is platinum top producers like Nahreal, Tuddy Thomas,Kaburu Records, Hometown studios, Flexible Music to mention a few.
“Usikose kunua nakala yako #SupportUrOwn, hapa kuna historia kubwa sana mapacha tunaiweka ila tunahitaji saport” alipost D wa Maujanja Saplayaz kwenye moja ya mitandao ya kijamii

Tracklist
01. Ghetto lovin  (Prod. By Fundi samweli )
02. Selo ft.Mandojo & Domokaya 
03. Mikono Mifupi ft.Vanguva & Danny Msimamo
04. Wardakeyo
05. Plan A ft. Mkoloni  
06. Time for the Money
07. Paparazi ft.Mbishi,Mkoloni & Msimamo
08. Life ft.Mansu Lee,Msimamo & Damian Soul
09. Underground star ft.Henry,Nikki & Danny Msimamo
10. Superwoman ft.Jacob                                                                          11.Kipande flani  ft.Linex & Becka Title

ORDER No. 0712715705 #SupportUrOwn,24TH AUGUST SAVE THE DATE
HSHH.COM.HOME OF HIPHOP

HSHH EXCLUSIVE:The highly anticipated ‪‎MaujanjaSaplayaz debut album "‎GhettoLoveAlbum."

It’s been a long time coming for ‪ # ‎ MaujanjaSaplayaz ‪ # ‎ PKP ‪ # ‎ magengemwenge   @officialkaymapacha @dottowamaujanja but afte...
Herishaa BGMS recently released his hit single “yeyooooo,” in which he spits speed toung twisting In Full. Now the Sinza based MC/PRODUCER recruits His team “BGMS MONEY GANG WE HOMMIES” to take over the rap game.Probably Herishaa is the UP NEXT Hip Hop hottest producer and he is heavily involved in creating Trap sound. Recently he told HotSwahiliHipHop.com detailed info on how he wants to sell beats for those who may happen to feel his new trap sound. . “Bgms Tunauza beat kali nzito za trap piga no 0655899684 bonyeza maandishi ya blue kupata sample http://mdundo.com/a/3262 .

Listen as he gives  Hip Hop Fans a flavor and drop your comments below

UPNEXT: HERISHAA BGMS Hip Hop hottest producer new African trap lord

Herishaa BGMS recently released his hit single “yeyooooo,” in which he spits speed toung twisting In Full. Now the Sinza based MC/PRODUC...

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile