Wasanii wengi wa Hip Hop wanaimba juu ya midundo ya muziki ambayo haijarekodiwa vyombo vya muziki,pia vinapigwa sambamba na wao wakiimba na wakati mwingine hurap kwa mtindo unaojulikana kama mitindo huru yaani kutoa mashairi ya papo kwa papo kwa kufuata midundo ya muziki inayopigwa au bila kuwepo kwa midundo ya miziki yaani akapela.
HSHH TIPS & FACTS: Wasanii wengi wa Hip Hop wanaimba juu ya midundo ya muziki ambayo haijarekodiwa.More https://t.co/IbJBCAHl54
— HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) August 22, 2016
0 comments:
Post a Comment