Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz yao, kuna line inasema "Mnyamwez kapoteza passport" Yani awez kusafir atabak Tz tu ,hivyo watu wangu wasinielewe vibaya nlichomaanisha kwenye ngoma.Ukiangalia rais wetu Mh John Pombe Magufuli amekuwa mzalendo kiasi kikubwa basi yapasa tumuige,ndio maana napenda hasa sisi tuwe na hollywood yetu Masaki,Kijiji flani wasanii wanaweza wakaishi goodlife wakashoot bongo mvie zao

Young Daresalama:Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz

Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz yao, kuna line inasema "Mnyamwez kapoteza passport" Yani awez kusafir atabak Tz ...

New Music;Sina Jambo by Billnass.

http:// youtu.be/-D476h5j4aQ?a  
                   New Msasani Club 19th August 2017 4pm-10pm #hshh 🔥🔥🔥🔥Dont Miss

CYPHER KILINGENI

                   New Msasani Club 19th August 2017 4pm-10pm #hshh 🔥🔥🔥🔥Dont Miss

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile