Young Daresalama:Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz

Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz yao, kuna line inasema "Mnyamwez kapoteza passport" Yani awez kusafir atabak Tz tu ,hivyo watu wangu wasinielewe vibaya nlichomaanisha kwenye ngoma.Ukiangalia rais wetu Mh John Pombe Magufuli amekuwa mzalendo kiasi kikubwa basi yapasa tumuige,ndio maana napenda hasa sisi tuwe na hollywood yetu Masaki,Kijiji flani wasanii wanaweza wakaishi goodlife wakashoot bongo mvie zao

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile