Wazazi wangu wako hai wote wawili lakini for years tangu mimi hapa
nimezaliwa hawajawahi kuwa wanaishi pamoja,”
“So asilimia kubwa mimi nimelelewa na bibi yangu, mama yangu, na marehemu dada yangu,” aliongeza.
Kuhusu jina lake Darassa, alidai kuwa alilipata kitambo enzi marehemu
Complex yupo hai ambapo alienda kwenye studio zake na kuwakuta watu
waliokuwa wakirekodi. Anasema watu hao walionekana kukosea baadhi ya
vitu na yeye kuwashauri njia nzuri na hivyo kupelekea kumpa jina
‘Darassa.’
Kwa sasa rapper huyo anafanya vizuri na wimbo wake ‘Too Much.’
0 comments:
Post a Comment