Today's Review

Wasanii wa Hip Hop si kwamba wanajigamba tu kuwa wao ni wataalamu wa kutumia vina, lakini pia vina hivyo vinajidhihirisha katika tungo zao. Tutuangalie tungo tuone jinsi wasanii wanavyozingatia matumizi ya vina katika.Tukianza na Profesa Jay katika wimbo wake wa Kubwa Kuliko. "Ninaposema Jay kubwa kuliko, Siko niliko ndiko liko zindiko (Yataka moyo) Ninaposema Jay kubwa kuliko, Siko niliko ndiko liko zindiko (Yataka moyo)". Tukimtumia msanii mwingine Joh Makini katika wimbo wake wa Najiona Mimi (I see me) tunaona pia matumizi ya vina yanapewa kipaumbele kama tulivyoona kwa wasanii wengine, hebu tuangalie shairi lenyewe: "Namuona Baba Mmoja Tu Juu Najiona Mimi Namuona Mama Mmoja Tu Chini Najiona Mimi Naziona chuki zao upendo najiona mimi Mabegani Msalaba Wa Ndoto Mtoto Wa Mageto Ziwe Kweli Zisiishe Kisongo Segerea Ya Keko"

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile