HSHH EXCLUSIVE

Hii ni zawadi ya mtaa kwa fans wake kuwapa motisha zaid waweze kumpigia kura kwenye tuzo za AFRIMMA zinazotarajiwa kufanyika nchi Marekani.Dj D Ommy awetajwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengele cha Best Dj Africa akipambanishwa na madj mbalimbali tokea Kenya,Uganda,Nigeria,Angola,South Africa na Cameroon.Kupiga kura ni kama ifuatavyo. HATUA NNE (4) RAHISI ZA KUMPIGIA KURA @djdommy #AFRIMMA HATUA YA KWANZA (1) Ingia http://afrimma.com/nominees-2016/ kisha shuka kwenda chini mpaka utakapokuta pameandikwa "BEST DJ AFRICA" HATUA YA PILI (2) Chagua jina la Dj D ommy - Tanzania kisha bonyeza paliko andikwa "VOTE" HATUA YA TATU (3) Subiri majibu baada ya kuvote, (Utaona kuna kitu kinaload kwa kuzunguka baada tu ya kuvote) HATUA YA NNE (4) Utakuja ujumbe ulioandikwa "Thank you, we have already counted your vote" HAPO UTAKUA UMEMALIZA KUMPIGIA KURA @djdommy *** Piga kura mara nyingi uwezavyo*** #ASANTE You can watch The Making Of Higher (Live Version) featuring @nikkwapili @johmakinitz S/O to Brother @pancholatino @hermyb #Amani πŸ“· @chuichui255 Dont Forget To Vote For @afrimma & @aeausa Link kwenye Bio.

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile