Hot Swahili ime review maisha ya msanii wa hiphop/rap Albert Mangwea kukumbusha mashabiki na wapenzi wake.Ni takribani miaka mitatu toka atoweke duniani lakini wana hiphop wamezidi kumkumbuka maradufu. Kipaji chake ndicho kilikuwa nguzo imara kilichombeba kila alipofika.Wengi wamempa ufalme wa Freestyle na hadi sasa kila rapper anayekuja hatosita kumpa heshima mkali huyo aliyewakilisha vyema kundi la EAST ZOO.
Nyimbo kama Ghetto langu,She Got A Gwani na Mikasi zilimpa nafasi kubwa marehemu Albert na kumweka katika ramani nzuri ya muziki wa Hip Hop.
0 comments:
Post a Comment