MUSICIAN/WRITTER/BEAT MAKER FROM EAST AFRICA(TANZANIA) SONGA AMEACHIA VIDEO MPYA ILIYOONGOZWA NA MO SKILLZ.
UJIO HUU WA SONGA NI MWENDELEZO MZURI WA KUONYESHA KUWA HIP HOP IS STILL ALIVE NA KIBAO CHENYEWE KINA UJUMBE TOSHA KWA MSIKILIZAJI.

"JAMAA MPENDA AMANI, ANAYESAIDIA WATU NA KUISHI VYEMA NA JAMII ILIYOMZUNGUKA BILA KUJALI UTOFAUTI WOWOTE.NAAMINI WEWE NI MMOJA KATI YA JAMAA WA NAMNA HIYO PIA" MANENO YA SONGA.

VIDEO PIA INAAKISI MICHORO YA GRAFFITI AMBAYO NI MOJA KATI YA NGUZO ZA HIP HOP.NI DHAHIRI KUWA TAMADUNI HII INASHIRIKISHA BAADHI YA ELEMENT ZAKE MUHIMU KAMA MOJA WAPO ILIVYOONYESHWA KWENYE VIDEO HII.


WASILIANA NA SONGA KWA MALENGO YA KIBIASHARA AU MAULIZO KUPITIA NAMBA +255 656337757.




UNGANA NASI KATIKA TOVUTI YETU MARIDADI KABISA KWA MASWALA YOTE YA MUSIC,HABARI,MAISHA,MAKALA YANAHUSIANA NA HIPHOP KILA SIKU.
KWA UJUMBE AU USHAURI USISITE KUTUTUMIA MAONI YAKO NA UTAJIBIWA MDAU WETU WA DHATI.


HOT SWAHILI HIPHOP
WHATSAPP +255714131936 & SMS
EMAIL: hotswahilihiphop@gmail.com
MOBILE: 0682319039
TWITTER @hotswahilhiphop
INSTAGRAM :@hotswahilihiphop
FACEBOOK PAGE:https://www.facebook.com/hotswahilihiphop/

New Video : Songa - Yule Jamaa

MUSICIAN/WRITTER/BEAT MAKER FROM EAST AFRICA(TANZANIA) SONGA AMEACHIA VIDEO MPYA ILIYOONGOZWA NA MO SKILLZ. UJIO HUU WA SONGA NI MWENDE...
E-BREEZY SENDINTG MY REGARDS EP REVIEW.
Born in famous town of Kariakoo in Dar-es-Salaam, Tanzania currently grinding hard in Silver spring,Md,20906 in Maryland. Ibrahim Max a.k.a E-Breezy finally gives his fans a surprise with the release of “Sending my Regards.” Ep for free.

The 5-track Ep makes appearance of guest fellow artists like Stickerz and Fei. Songs like “Killer” are strong on their own because they reflect the themes of hustling and keeping hard work alive. “Najivunia” for instance opens with Mwalimu Nyerere speech on leadership affairs to re unite people to strengthen unity as a major task of a leader.”

The EP is refreshing too simply because Ibrahim Max “beautiful words” record features a lady’s voice and her vocal making the record as much dope for replay. For instance “Cheza ”featured by stickerz a cool club banger incorporated by sounds of dance hall. With slightly mid-tempo, the track speaks to a deeper meaning of love for ladies, money, drunken minds of unstressed youth clubbin all night long .Simply the Ep hits both gernes to bring about a musical taste for every one .

Ibrahim is sure to grab your ears and heart upon the first listen. Luge Paul, Big Stickerz, Adam Malimbwi & B Cube blesses the production from Sound King Studios in collaboration with Hard work Nation & Hakuna Matata Repuvlic Label.

Cover designed by Samson Laiser of Expart Design. Enjoy and let us know what you think below.

Tracklist
01. Killer - E-Breezy ft.Fey
02. Beautiful words E-Breezy ft.Maria Evans
03. Cheza - Sticker ft. E-Breezy
04. Najivunia-DMV Allstars
05. Pushin in - Slide ft.E-Breezy

Connect with E-Breezy https://www.instagram.com/imax255/

 https://twitter.com/ViceVersa009



HSHH SHORT INTERVIEW WITH E-BREEZY

 HSHH :Tueleze kwa ufupi kitu gani kinakupa msukumo wa kufanya muziki wa rap au hiphop ?

 E-BREEZY: Ni dhati kuwa nastahili kusikilizwa nini nasema juu ya mada fulani. Kila maoni, imani ya kusimamia masuala mengi ya watu hasa siku hizi kuna hofu ya kusema ukweli kuhusu mada Fulani.Nafanya muziki kuonyesha watu kuwa na sauti na msimamo na sina hofu ya kuhukumiwa kwa ukweli.


HSHH : Ukiachana na Ep yako je kuna Project(s): ulizowai fanya kabla? E-BREEZY: Kuna makala juu ya nyimbo nyingine, na freestyles kibao.


HSHH: Tutarajie nini kutoka kwako?


E-BREEZY: Zaidi ya muziki kutoka kwangu,ni kushirikiana na wanamuziki mwingine, kufanya kazi na wanamuziki zaidi,kukuza bidhaa na biashara na pia napenda kujihusisha zaidi katika sekta hii hivyo ili kujua jinsi wanavyoweza kutafuta njia zaidi kulipwa kupitia Streaming, michezo ya redio na biashara na ndio njia bora kwa mwanamuziki kulipwa. HSHH: Shukrani



HSHH EXCLUSIVE :NEW EP BY E-BREEZY

E-BREEZY SENDINTG MY REGARDS EP REVIEW. Born in famous town of Kariakoo in Dar-es-Salaam, Tanzania currently grinding hard in Silver spri...
Brand & Youth Ambassador from namba 8,Nairobi kenya #octopizo ni moja kati wa wasanii wa muziki wa hiphop Afrika Mashariki wanaofanya vizuri.Amezidi kuonyesha makali ya kipaji chake kadiri siku zinavyoenda.Hii ni video yake #Utanishoo.Enjoy More info octopizzo@octopizzo.com Instagram http://www.instagram.com/octopizzo Worldwide octopizzofoundation.org "KING !!!! ##### JUST GOT REAL AGAIN-Ni hii sheng' nilinunua nayo gari-ni HII Sheng' nilipanda nayo Ndege OCTOPIZZO utanishow? Nilikushow wee ni ####Aseyie Wuod Nyaboro -Geneva Switzerland---PESA OTAS NIGGA---" iliandikwa na moja ya shabiki yake katika mtandao wa Youtube baada ya kuitazama video jina vicmass luodollar.

VIDEO :OCTOPIZO UTANISHO

Brand & Youth Ambassador from namba 8,Nairobi kenya #octopizo ni moja kati wa wasanii wa muziki wa hiphop Afrika Mashariki wanaofanya ...


Ijumaa 23 Nov 2014, wana hip hop na wapenzi wa wadau wa hiphop, walisikiliza maada mbalimbaali na kutoa michango ya mawazo. Kati ya waliotoa mada ni Profesa Mitchel Strumpf wa Chuo Kikuu cha dar es Salaam aliyetoa mada Hip Hop Identity and its Struggles Globally, ambapo aliweza kurudi nyuma kwenye historia kujaribu kuonyesha Hiphop ilitoka Afrika na imerudi tena, Kuna nyimbo kutoka Bukoba zilizorekodiwa kwenye miaka ya 50 ambazo ukisikiliza inashangaza kwani inafanana sana na Hiphop ya leo.
  
Pia alitoa maelezo mengi kuhusu kasheshe ambazo Hip hop inapitia katika sehemu mbalimbali duniani kutokana na tafsiri ya muziki huu. Maada nyingine ilitolewa na John Kitime mwanamuziki wa Kilimanjaro Band .
Problems and Challenges in the Tanzania Music Sector,
Maada ambayo iliongelea historia ya muziki na mapokeo katika Tanzania na matatizo ambayo muziki umepitia na unapitia mpaka wakati huu. Baadhi ya mambo ambayo aliyataja ni Rushwa katika tasnia hii, matatizo ya utekelezaji wa sheria ya Hakimiliki, mahusiano ya historia ya Kisiasa ya nchi hii na muziki na wanamuziki wake, nafasi ya serikali katika maendeleo ya muziki.

Maada nyingine ilitolewa na Charlotte Hill O'Neal aka Mama C aliyetoa maada “Tuangalie tulikotoka ili kuweza kusonga mbele.” Ambapo katika maada hiyo alitoa mifano ya jitihada za wana Hiphop wa kwanza wa Marekani, katika mazingira yaliyokuwa magumu ya kukosa nafasi ya kazi zao kusikika redioni , na wakati hakukuwa na uwanja huu mpana wa internet.  
Katika maada yake hii aliongelea kuhusu kituo cha SUA (Saving Underground Artists) kilichopo Arusha na jitihada zake za kuendeleza Hiphop. Mada nyingine iliyotolewa ni  JE WANA HIP HOP WAFANYE NINI ILI KUWEZA KUTOKA ambayo ilikuwa na maelezo mengi ya kuonyesha  na kushauri njia mbadala za kuwawezesha wana HIP HOP kutoka katika mazingira yaliyopo.




KILICHOJIRI HIP HOP SUMMIT 23 NOVEMBER 2014

Ijumaa 23 Nov 2014, wana hip hop na wapenzi wa wadau wa hiphop, walisikiliza maada mbalimbaali na kutoa michango ya mawazo. Kati ya w...
                                                                                Hot Swahili ime review maisha ya msanii wa hiphop/rap Albert Mangwea kukumbusha mashabiki na wapenzi wake.Ni takribani miaka mitatu toka atoweke duniani lakini wana hiphop wamezidi kumkumbuka maradufu. Kipaji chake ndicho kilikuwa nguzo imara kilichombeba kila alipofika.Wengi wamempa ufalme wa Freestyle na hadi sasa kila rapper anayekuja hatosita kumpa heshima mkali huyo aliyewakilisha vyema kundi la EAST ZOO.
Nyimbo kama Ghetto langu,She Got A Gwani na Mikasi zilimpa nafasi kubwa marehemu Albert na kumweka katika ramani nzuri ya muziki wa Hip Hop.

IN MEMORY : ALBERT MANGWEA

                                                                                Hot Swahili ime review maisha ya msanii wa hiphop/rap Alber...





In Morogoro, a regional capital about
200 km west from Dar-es-Salaam, the
HipHop-enthusiastic youth had
the chance to show its talent on stage in the
weekly „talentshow”

a rap contest being held in the Mango Garden.
Every Sunday at 7 p.m. approximatel
20 groups of young rappers climb
the stage in competition to enter the next round. They can choose between
two different beats only and have to
show their ability to rap their message
to the sound. At the end of each mo
nth the winners are
being declared and
receive their prizes: number One is
being rewarded with a bicycle.
To rap various songs to the same sound
is not just practised for competition
on stage but also because only few can afford to have their individual beats
composed in a studio. Juma Madowe
ka has got one beat, which was com-
posed by a professional producer for
a fee of about 5.000 TSh

In 2002 he used this one as the ba
ckground sound to all his lyrics and
he had also recorded one song „Je, wa
jua” completely with beats and lyrics.
However, this tape produced by a sma
ll local studio in Morogoro lacked the
quality needed for the song to be played on the radio.
In summer 2003 though Juma Madowe
ka’s song „Sisi ni nani” was being
played on the Morogoro-based radio
„Redio Kweli” and was even listed
among the Top Ten. He had managed to
save up the 70.000 TSh
to produce the single on CD, wh
ich he then brought to the radio
station himself. Lucky enough the people
there liked and played it so that
Juma got at least some emotional satisf
action though financially there are of
course no rewards.


UNDERGROUND RAP IN MOROGORO

In Morogoro, a regional capital about 200 km west from Dar-es-Salaam, the HipHop-enthusiastic youth had the chance to sh...
"Maisha yangu nayoishi yanaakisi kile kilicho kwenye ngoma zangu kihalisia,unajua mimi nimeanza kuwaskiaz awakina Lil Wayne na hizo ndo ngoma amabazo mda mwingi zipo kichwani.Nilianza kwa kukaririri mashairi yao na kuanza kuyarudiarudia".Lakini Orbit awali amekuwa aikispit kwa kizungu meanwhile mtu akiandika kiswahili kinakuwa kimeeandikwa kile kilichopo.Ameshukuru fans wake kwa support ya ujio wake na mapokezi mazuri. Mtangazaji wa LADHA 3600 ya Efm 93.7 Dar-es-Salaam J#abi Saleh alimpa credits juu ya wimbo wake kabla ya kutoa MAKAVELI PANDA REMIX  swahili version na kusemakuwa amefanya vizur zaid ya mwenye ngoma.Angalia video yake

NEWS: INSPIRATION CARRER YA ORBIT

"Maisha yangu nayoishi yanaakisi kile kilicho kwenye ngoma zangu kihalisia,unajua mimi nimeanza kuwaskiaz awakina Lil Wayne na hizo...

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile