Muziki wa Hip Hop ni utamaduni unaombatana na elementi za, michoro, rap, Dj, mabreka, ni muziki ambao mashairi yake yanaganwa kwa kutumia mashairi yenye vina na midundo mizito

HSHH TIPS & FACTS

Muziki wa Hip Hop ni utamaduni unaombatana na elementi za, michoro, rap, Dj, mabreka, ni muziki ambao mashairi yake yanaganwa kwa kutumia ...
Expect @JohMakini to drop a collable soon with SA own @KhuliChanaSA Joh aliskika akisema kuwa ni Dj Super Nova wa SA ndio alimfatilia kwenye Bio yake hivyo alipokea DM na mambo yalikuwa rahisi. Joh alieleza wakiwa SA walikutana pia na KHULI CANA akishoot Video yake CHIDMA na walikuwa na wasaa mzuri sana.Hip Hop ya Tanzania imezidi kupata nafasi zaid wakati huu ambapo wasanii mbalimbali wameonekana wakijitahidi kukuza chapa zao ili kuteka na kukuza soko zaid la kitaifa na kimataifa.

NEWS

Expect @JohMakini to drop a collable soon with SA own @KhuliChanaSA Joh aliskika akisema kuwa ni Dj Super Nova wa SA ndio alimfatilia k...
Baadhi ya wasanii na makundi ya Hip Hop wanaotajwa kuwa ni waasisi wa muziki huu walikuwa ni, Fresh XE, BBG, Adili Kumbuka, Salehe Jabir, KBC, Samia X, The BIG, Rymson, 2 proud (Sugu), makundi ni kama vile, Kwanza Unit, Deplowmatz, HardBlasterz, Gang Stars With Matatizo (GWM), Wagumu Weusi Asilia, Young Da Mob, Afro Reign, Jungle Crewz Pose, Bantu Pound, Hardcore unit kwa kutaja machache

HSHH TIPS & FACTS

Baadhi ya wasanii na makundi ya Hip Hop wanaotajwa kuwa ni waasisi wa muziki huu walikuwa ni, Fresh XE, BBG, Adili Kumbuka, Salehe Jabir, ...
#‎Tungi‬ ya @King_Zillah ni moja ya trap song za kwanza kabisa kutoka na kufungua njia kwa wengine kujaribu

Trap music ni aina ya mziki uliozaliwa  mapema miaka ya tisini ikitokea katika mahadhi ya hip hop  kusini mwa marekani.
Midundo yake hutumia sana kiki  aina ya 808 Na bass zito likipiga mara mbilimbili na kwa haraka zaidi. 

Jina "trap" linatumika kumaanisha sehemu ambapo madawa ya kulevya huuzwa na pia ni ngumu kukwepa hali hiyo ikitokea katika mji  Atlanta, Georgia .
Hapa  Tanzania style hii imeshika kasi kwa baadhi ya wasanii wa hip hop kama Dupy,izzo,weusi,quick rocker ,BGMS MONEY GANG,Herishaa kuziid kuufanya na kuuboresha zaidi .

HSHH TIPS & FACTS

‪ #‎ Tungi‬ ya @King_Zillah ni moja ya trap song za kwanza kabisa kutoka na kufungua njia kwa wengine kujaribu Trap music ni aina ya...


Rap artist and CEO of  Unit Ent, Ambwene Yessaya a.k.a {AY} Hits 7,151,201 views  on youtube since its release about 6 months ago.
The record was produced at The Industry Studios by NahReel and later
Co-Produced by Marco Chali & Hermy B.The video directed by STUDIO SPACE PICTURES in SA.
Ay continues to maintain his status regardless of being involved with other stuffs.

HSHH Exclusive: AY Hits 7,151,201 views on youtube

Rap artist and CEO of  Unit Ent, Ambwene Yessaya a.k.a {AY} Hits 7,151,201 views  on youtube since its release about 6 months ago. The rec...

New Video: Fid Q ft. Christian Bella - Roho

New Music : @Fidq Fit @ChristianBella4 – Roho’ by HotSwahiliHipHop https://t.co/pvY5sMEkjS — HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) August 1...
Fid Q Kuachia album November au December aliyoipa jina la KITAOLOJIA

News

Fid Q Kuachia album November au December aliyoipa jina la KITAOLOJIA News: @FidQ Kuachia album November au December — HotSwahiliHipHop (@H...

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile