Trap music ni aina ya mziki uliozaliwa mapema miaka ya tisini ikitokea katika mahadhi ya hip hop kusini mwa marekani.
Midundo yake hutumia sana kiki aina ya 808 Na bass zito likipiga mara mbilimbili na kwa haraka zaidi.
Jina "trap" linatumika kumaanisha sehemu ambapo madawa ya kulevya huuzwa na pia ni ngumu kukwepa hali hiyo ikitokea katika mji Atlanta, Georgia .
Hapa Tanzania style hii imeshika kasi kwa baadhi ya wasanii wa hip hop kama Dupy,izzo,weusi,quick rocker ,BGMS MONEY GANG,Herishaa kuziid kuufanya na kuuboresha zaidi .
Tungi ya @King_Zillah ni moja ya trap song za kwanza kabisa kutoka na kufungua njia kwa wengine kujaribu.More on https://t.co/wzLFSyFhzw— HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) August 20, 2016
0 comments:
Post a Comment