NEWS

Expect @JohMakini to drop a collable soon with SA own @KhuliChanaSA Joh aliskika akisema kuwa ni Dj Super Nova wa SA ndio alimfatilia kwenye Bio yake hivyo alipokea DM na mambo yalikuwa rahisi. Joh alieleza wakiwa SA walikutana pia na KHULI CANA akishoot Video yake CHIDMA na walikuwa na wasaa mzuri sana.Hip Hop ya Tanzania imezidi kupata nafasi zaid wakati huu ambapo wasanii mbalimbali wameonekana wakijitahidi kukuza chapa zao ili kuteka na kukuza soko zaid la kitaifa na kimataifa.

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile