Herishaa BGMS Ameachia track yake mpya aliyomshirikisha Liz Banks “Tz All Day,” Sinza based MC/PRODUCER na team yake “BGMS MONEY GANG WE HOMMIES” wanazidi iteka mitaa kwa staili yao ya music katika soko la music wa HipHop.Ni vijana wadogo lakini ukiwapa nafasi hutojutia kuwaskiza.Unaweza kuskiliza ngoma yake hapa na interview yake na K-HooD na kutoa maoni yako pia. Asante sana.

Herishaa_bgms on a Phone call Interview with K-HooD of HotSwahiliHipHop 2016 About his career

Herishaa BGMS Ameachia track yake mpya aliyomshirikisha Liz Banks “Tz All Day,” Sinza based MC/PRODUCER na team yake “BGMS MONEY GANG W...
tarehe 01/10/2016 KiLiNGeNi pale pale NEW MSASANI CLUB. SAA 9:00 mpk 4 usiku #2000 kiingilio.Usikose Amani kwa wapenda HipHop Music We Empower,inspire and educate those who shape Hip-Hop culture

#Back to the Cypher

tarehe 01/10/2016 KiLiNGeNi pale pale NEW MSASANI CLUB. SAA 9:00 mpk 4 usiku #2000 kiingilio.Usikose Amani kwa wapenda HipHop Music @Ngome...

Watch Izzo_bizness ft. Abelamusic #balaa

Watch @Izzo_bizness ft. Abelamusic #balaa on https://t.co/Ajv7l9mlHU — HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) September 28, 2016

Watche Motra ft Ruby #ONE DAY

Watch @MotraThe ft Ruby #ONE DAY on https://t.co/Ajv7l9mlHU — HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) September 28, 2016
HeryShaa a.k.a BGMS_MONEY GANG kutoka sinza DigiDigi Street anakuletea ngoma mpya Tz All day akimshirikisha Betty au Liz Banks.UDOM ndo base yao walipokutana na kuunda gang yao akiwemo Trapboy montana,dre,tutu mercedez, herisha,lautez. Hery anasema shule ni ya pili na mziki ni wa kwanza sababu vijana wana degree mtaani lakini hawana la kufanya ilhali yeye kupitia mziki anaweza tengeneza milion moja kwa siku.Hery anauza beats moja kwa 250,000 hadi 350,000 na baadhi ya wasanii ambao wametumia beats zake akiwemo Godzilla,DullaMan na upcoming wengine.Tour zipo njiani na album pia akiwa kama top producer wa BGMS MONEY GANG.Nakukaribisha kuskiza kibao hiki.

New Music :Tz All Day

HeryShaa a.k.a BGMS_MONEY GANG kutoka sinza DigiDigi Street anakuletea ngoma mpya Tz All day akimshirikisha Betty au Liz Banks.UDOM ndo ba...


































Japhet Kamanzi a.k.a Wise Punk
Rapper tokea rock city
Kaa tayari kwa ujio wake mpya kabisa



If you are out there and have hip hop music that you have produced, this also is  a very good platform to get  you and your music featured on HotSwahiliHipHop. Bofya About Us utajua mengi zaid kuhusu HSHH.com
 




UP NEXT :Japhet Kamanzi a.k.a Wise Punk

Japhet Kamanzi a.k.a Wise Punk Rapper tokea rock city Kaa tayari kwa ujio wake mpya kabisa If yo...
Malkia wa HipHop Tanzania,Chuku K amezidi kuonyesha uwezo wa pekeee katika kibao kipya #badonawakilisha.Ingawaje ilimgharimu sana kurecord video yake kiasi kwamba ajali mbaya ya tren ingempata,Chiku Keto alimshukuru Mungu kwa kumuepusha.Alipohojiwa katika kipindi cha #ladha3600 na Jabir Saleh Aliyasema hayo.Tafdhali naommba tazama video na uweze kusambaza katika social networks. We really just want everyone to love HipHop.If you are out there and have hip hop music that you have produced, this also a very good platform to get you and your music featured on HSHH

New Video -Chiku K ,Bado Nawakilisha

Malkia wa HipHop Tanzania,Chuku K amezidi kuonyesha uwezo wa pekeee katika kibao kipya #badonawakilisha.Ingawaje ilimgharimu sana kurecord ...

FOLLOW PAGE YETU IG

A video posted by HotSwahiliHipHop (@hotswahilihiphop) on Sep 13, 2016 at 3:20pm PDT

Chemical ft Centano - Am Sorry Mama (Official video)


Lets get real
wakali wa machata au graffiti kwa lugha nyingine @wachata07 wanakuja na onesho jingine kubwa sambamba na burudani toka kwa @maalimnash na @mansu_li 

Mahali ni  #nafasiartspace Ni tales behind the cans.3rd annual wct (wachata crew) graffiti and hip hop exbhition at Nafasi Artspace Jumamosi 17 sept.2016.Usikose All lovers of HipHop Music & Culture


Tanzanian hiphop history in general, inawataja  WCT Crew, ni crew inayojishughulisha na graffiti plus creative arts  ambapo wao wameendeleza harakati za usanifu michoro katika viunga mbalimbali vya jiji la Dar –es- salaam. WCT means WACHATA ni kampuni halali, Mejah Mbuya  ni marketing personnel, Meddy ni procurement manager, Kalasinga,ni meneja ugavi  na Local ni mbunifu mkuu. Jijini Mwanza kuna Edo amabye amejikita kwenye kuchora tattoo, Yuzzo, and Mizani 86 wapo Moshi pia wakiendeleza usanifu wa elementi hii muhimu ya HipHop.
WCT wamezidi pata attention Tanzania sababu media zimeelewa kazi zao na haina ubishi kwamba wameweka misingi chanya na imara kwa watu kwenye suala zima la GRAFFITI. WCT walifika office za East Africa TV Dar-es-Salaam kwa ajili ya kutengeneza ubunifu tofauti katika kipindi cha HOT MIX kinachoruka  Monday-Friday, 5:00 na idea ilikuwa kuleta maudhui ya rangi tofauti tofauti na maandishi yatakayosomeka kirahisi na  iliwachukua takribani masaa matano kumaliza kazi hiyo .


Tembelea
www.facebook.com/wachatacrew AU
www.wachatacrew.blogspot.com
 
WCT @ EATV HOT MIX SHOW DESIGNING


3rd Annual WCT (Wachata Crew) Graffiti and Hip Hop Exbhition

Lets get real wakali wa machata au graffiti kwa lugha nyingine @wachata07 wanakuja na onesho jingine kubwa sambamba na burudani toka ...

Brian Lorenzo Feat. Godzilla - DSM City Remix

Brian Lorenzo Feat. @King_Zillah - DSM City Remix on https://t.co/IbJBCAHl54 — Hot Swahil HipHop (@HotSwahilHipHop) September 12, 2016...


 










Hayo ndiyo yaliyojiri pale Mitaa ya Temeke uwanja wa MADENGE kwenye KINASA 
( kiswahili na Sanaa )

KINASA ( kiswahili na Sanaa )

  Hayo ndiyo yaliyojiri pale Mitaa ya Temeke uwanja wa MADENGE kwenye KINASA   ( kiswahili na Sanaa )
#HipHop_wont_Die

















#HipHop_wont_Die

#HipHop_wont_Die #HipHop_wont_Die — Hot Swahil HipHop (@HotSwahilHipHop) September 10, 2016



Emmy 100 kama anavojulikana katika music amekuletea ngoma yake mpya #Trippin.Mwanadada huyu mwenye sauti ya pekee ni dhahiri kuwa ana uwezo wa mkubwa na amempa shavu rapper kutoka SalaSala Golden Jacob a.k.a GODZILLA.Produza aliyehusika kufanya mdundo ni Herishaa BGMS kutoka mitaa ya K-Nyama DigiDigi Street na Osam amehusika kwenye Mixing na mastering.Trippin itaskika hapahapa Hot Swahili Dar-es-Salaam New Online Hip-Hop Station kwenye vipindi mbalimbali.Bonyeza Hot-Swahili Radio.


UNGANA NASI KATIKA TOVUTI YETU MARIDADI KABISA KWA MASWALA YOTE YA MUSIC,HABARI,MAISHA,MAKALA YA HIP-HOP KILA SIKU NA KUSIKILIZA HOT SWAHILI RADIO LIVE.
KWA UJUMBE AU USHAURI USISITE KUTUTUMIA MAONI YAKO NA UTAJIBIWA MDAU WETU WA DHATI.















HOT SWAHILI HIPHOP
WHATSAPP +255714131936 & SMS
EMAIL: hotswahilihiphop@gmail.com
SMS: 0682319039
TWITTER @hotswahilhiphop
INSTAGRAM :@hotswahilihiphop
FACEBOOK PAGE:https://www.facebook.com/hotswahilihiphop/




New Music: Emmy 100 ft.Godzilla Trippin

Emmy 100 kama anavojulikana katika music amekuletea ngoma yake mpya #Trippin.Mwanadada huyu mwenye sauti ya pekee ni dhahiri kuwa ana...

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile