Lets get real
wakali wa machata au graffiti kwa lugha nyingine @wachata07 wanakuja na onesho jingine kubwa sambamba na burudani toka kwa @maalimnash na @mansu_li
Mahali ni #nafasiartspace Ni tales behind the cans.3rd annual wct (wachata crew) graffiti and hip hop exbhition at Nafasi Artspace Jumamosi 17 sept.2016.Usikose All lovers of HipHop Music & Culture
Tanzanian hiphop history in general,
inawataja WCT Crew, ni crew
inayojishughulisha na graffiti plus creative arts ambapo wao wameendeleza harakati za usanifu
michoro katika viunga mbalimbali vya jiji la Dar –es- salaam. WCT means WACHATA
ni kampuni halali, Mejah Mbuya ni
marketing personnel, Meddy ni procurement manager, Kalasinga,ni meneja ugavi na Local ni mbunifu mkuu. Jijini Mwanza kuna
Edo amabye amejikita kwenye kuchora tattoo, Yuzzo, and Mizani 86 wapo Moshi pia
wakiendeleza usanifu wa elementi hii muhimu ya HipHop.
WCT wamezidi pata attention Tanzania
sababu media zimeelewa kazi zao na haina ubishi kwamba wameweka misingi chanya
na imara kwa watu kwenye suala zima la GRAFFITI. WCT walifika office za East
Africa TV Dar-es-Salaam kwa ajili ya kutengeneza ubunifu tofauti katika kipindi
cha HOT MIX kinachoruka Monday-Friday,
5:00 na idea ilikuwa kuleta maudhui ya rangi tofauti tofauti na maandishi yatakayosomeka
kirahisi na iliwachukua takribani masaa
matano kumaliza kazi hiyo .
Tembelea
www.facebook.com/wachatacrew AU
www.wachatacrew.blogspot.com
WCT @ EATV HOT MIX SHOW DESIGNING
0 comments:
Post a Comment