New Music :Tz All Day

HeryShaa a.k.a BGMS_MONEY GANG kutoka sinza DigiDigi Street anakuletea ngoma mpya Tz All day akimshirikisha Betty au Liz Banks.UDOM ndo base yao walipokutana na kuunda gang yao akiwemo Trapboy montana,dre,tutu mercedez, herisha,lautez. Hery anasema shule ni ya pili na mziki ni wa kwanza sababu vijana wana degree mtaani lakini hawana la kufanya ilhali yeye kupitia mziki anaweza tengeneza milion moja kwa siku.Hery anauza beats moja kwa 250,000 hadi 350,000 na baadhi ya wasanii ambao wametumia beats zake akiwemo Godzilla,DullaMan na upcoming wengine.Tour zipo njiani na album pia akiwa kama top producer wa BGMS MONEY GANG.Nakukaribisha kuskiza kibao hiki.

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile