GHAFLA BIN VUU ANAFANYA VIZURI track yake mpya “YOTE HERI,” Akiwakilisha vyema block za udongo A-town ghafla anaamini kuwa mtaa unahitaji maarifa ya kutosha.Tegemea kazi mpya zaidi kutoka kwake.Tear kuna mixtapes mbili mtaani alizowahi achia pamoja na nyimbo ya washindi."Kitu kikubwa ni kutengeneza kitu kizuri na kazi kubwa ni kuwapa kazi watakayopata knowledge" Unaweza kuskiliza interview yake na K-HooD na kutoa maoni yako pia. Asante sana.

Ghafla on a Phone call Interview with K-HooD of HotSwahiliHipHop

GHAFLA BIN VUU ANAFANYA VIZURI track yake mpya “YOTE HERI,” Akiwakilisha vyema block za udongo A-town ghafla anaamini kuwa mtaa unahita...
Produceer wa music wa hiphop Tanzania mkali @Cjamokertz amezindua clothing line yake aliyoipa jina la #CjamokerWear. Huu ni muendelezo tu wa wa ujasiriamali katika game ya HipHop. Si kitu kigeni kwani hata game ya mbele kumewahi kuwa na clothing line tofauti na zikafanya vizuri. Kama unahitaji Tshirt za #CjamokerWear Fanya kupiga namba hii 0621507339 au WhatsApp 0783164761. #supportUreOwn. Karibu katika blog yetu kila siku na usikose kutembelea page zetu za facebook,twitter na instagram. Ahsante

NEW CJAMOKER WEAR CLOTHING LINE

Produceer wa music wa hiphop Tanzania mkali @Cjamokertz amezindua clothing line yake aliyoipa jina la #CjamokerWear. Huu ni muendelezo tu ...
Herishaa BGMS Ameachia track yake mpya aliyomshirikisha Liz Banks “Tz All Day,” Sinza based MC/PRODUCER na team yake “BGMS MONEY GANG WE HOMMIES” wanazidi iteka mitaa kwa staili yao ya music katika soko la music wa HipHop.Ni vijana wadogo lakini ukiwapa nafasi hutojutia kuwaskiza.Unaweza kuskiliza ngoma yake hapa na interview yake na K-HooD na kutoa maoni yako pia. Asante sana.

Herishaa_bgms on a Phone call Interview with K-HooD of HotSwahiliHipHop 2016 About his career

Herishaa BGMS Ameachia track yake mpya aliyomshirikisha Liz Banks “Tz All Day,” Sinza based MC/PRODUCER na team yake “BGMS MONEY GANG W...
tarehe 01/10/2016 KiLiNGeNi pale pale NEW MSASANI CLUB. SAA 9:00 mpk 4 usiku #2000 kiingilio.Usikose Amani kwa wapenda HipHop Music We Empower,inspire and educate those who shape Hip-Hop culture

#Back to the Cypher

tarehe 01/10/2016 KiLiNGeNi pale pale NEW MSASANI CLUB. SAA 9:00 mpk 4 usiku #2000 kiingilio.Usikose Amani kwa wapenda HipHop Music @Ngome...

Watch Izzo_bizness ft. Abelamusic #balaa

Watch @Izzo_bizness ft. Abelamusic #balaa on https://t.co/Ajv7l9mlHU — HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) September 28, 2016

Watche Motra ft Ruby #ONE DAY

Watch @MotraThe ft Ruby #ONE DAY on https://t.co/Ajv7l9mlHU — HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) September 28, 2016
HeryShaa a.k.a BGMS_MONEY GANG kutoka sinza DigiDigi Street anakuletea ngoma mpya Tz All day akimshirikisha Betty au Liz Banks.UDOM ndo base yao walipokutana na kuunda gang yao akiwemo Trapboy montana,dre,tutu mercedez, herisha,lautez. Hery anasema shule ni ya pili na mziki ni wa kwanza sababu vijana wana degree mtaani lakini hawana la kufanya ilhali yeye kupitia mziki anaweza tengeneza milion moja kwa siku.Hery anauza beats moja kwa 250,000 hadi 350,000 na baadhi ya wasanii ambao wametumia beats zake akiwemo Godzilla,DullaMan na upcoming wengine.Tour zipo njiani na album pia akiwa kama top producer wa BGMS MONEY GANG.Nakukaribisha kuskiza kibao hiki.

New Music :Tz All Day

HeryShaa a.k.a BGMS_MONEY GANG kutoka sinza DigiDigi Street anakuletea ngoma mpya Tz All day akimshirikisha Betty au Liz Banks.UDOM ndo ba...

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile