Video:Zawadi Ya Kala Jeremiah. The song is about orphan childrens

Kala Jeremiah Alieleza kuwa haikuwa ngumu sana kumpata Miriam Chirwa kufanya kiitikio.Nyimbo hii ni dedication kwa watoto wenye mazingira magumu hususani Yatima.Japo alichelewa kutoa nyimbo mwaka huu,ilibid amsubiri Mirium arudi kutoka shule. Wahusika kwenye video ni watoto Yatima kituo cha kulelea watoto cha KUHAMA Mwenge.Kupata basi Alitembelea shule zaid ya 54 Dar nzima lakina aliweza kulipata kwenye chuo cha Kariuki

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile