NEWS :FID Q Kwenye nia na uwekezaji huwezi kufeli

Hip Hop artist kutoka mwanza Fareed Kubanda ameeleza jinsi kibao cha #workitoff kilivyoweza kupewa heshima ya video bora Africa Mashariki kwa yeye kujiongeza maradufu.Hii imetokana na kuwa kila mara akiatoa vibao huwa bora lakini swala la video hufeli.Alisema mhusika mkuu ni mcheza filamu marufu itwayo #torts ambaye maudhui ya nyimbo na yeye yako sawia yani wasifu wake ni wa kibandidu hivyo tamasha kongwe la Zanzibar Film Festival lilimtunuku heshima hiyo.Fid Q alidai ni heshima kubwa sana.ZFF wapo kwenye tasnia kwa muda miaka 20 sasa na kwenye maswala ya visual anawaamini kwa uchambuzi wao. Aidha work it off mmana yake ni kudeal na jambo au kuamua kutemana nalo na wiki moja baada ya kutoa kibao hicho FID Q alipata deal maridadi ya kuwa ni soundtrack ya moja kati ya filamu zitakazotoka siku zijazo.Mwisho aliwahaidi mashabiki siku ya Agosti 13 atafanya double release kusherekea siku yake ya kuzaliwa kama ilivyo ada.

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile