GHAFLA BIN VUU ANAFANYA VIZURI track yake mpya “YOTE HERI,” Akiwakilisha vyema block za udongo A-town ghafla anaamini kuwa mtaa unahitaji maarifa ya kutosha.Tegemea kazi mpya zaidi kutoka kwake.Tear kuna mixtapes mbili mtaani alizowahi achia pamoja na nyimbo ya washindi."Kitu kikubwa ni kutengeneza kitu kizuri na kazi kubwa ni kuwapa kazi watakayopata knowledge"
Unaweza kuskiliza interview yake na K-HooD na kutoa maoni yako pia. Asante sana.
@issaashakur on a #PhoneCallInterview na @khoodhoodboy
— HotSwahiliHipHop (@HotSwahilHipHop) October 2, 2016
just click #PhoneCallInterview2listen onhttps://t.co/Ajv7l9mlHU
Ghafla on a Phone call Interview with K-HooD of HotSwahiliHipHop
GHAFLA BIN VUU ANAFANYA VIZURI track yake mpya “YOTE HERI,” Akiwakilisha vyema block za udongo A-town ghafla anaamini kuwa mtaa unahita...