News:Joh Makini adai weusi wamepeana nafasi tu.

Miziki ipo kibao ni swala tu la kuachia sio tena kwenda studio.Kila mtu anaweza kujitegemea hivyo wanaheshimu kila mmoja anachofanya.Ngomza zipo nyingi tuupe mda nafasi tu.Mziki lazima uwe mzuri na lazima watu wataupenda na kupata backup nzuri.Nikki au G anaweza kusimama peke yako mfano sweet mangi sasa iv hivyo ukimsikia nikki au G ni kama umewasikia weusi tu,mwisho wa siku hii ni sehemu ya biashara. Weusi soon utawasikia kwenye ngoma moja. Hivi karibuni Joh Makini aliachia ngoma yake ‘Perfect Combo’ akimshirikisha msanii wa Nigeria, Chidinma, Nick wa Pili aliachia ‘Sweety Mangi’ na G-Nako aliachia Arosto.

About the Author

HOT SWAHILI HIPHOP

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile