Unaweza sikiliza ngoma mpya ya Rap #godddes ft BillNass Marathon
 2018 unazidi kuwa mwaka mkubwa kwa rappers/hiphop.Mkali Roza Ree a.k.a rap goddess akiwa na mkali Bilnass ngoma ikiitwa Marathani.

Tupe comment yako kwa collable hii ya wakali wa rap

Audio 💪🏽Rap/HipHop 🤝 Roza Ree ft BillNass Marathoni

Unaweza sikiliza ngoma mpya ya Rap #godddes ft BillNass Marathon  2018 unazidi kuwa mwaka mkubwa kwa rappers/hiphop.Mkal...
💪🏽Rap/HipHop 🤝

Kwenye Ubora na Viwango🔥 🔥🔥🔥 #videoalert🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨📽📽🎥🎥

JYGGA LO

Moja ya rapper na Mc mkali anatarajia kuachia video mpya ya wimbo wake... #Hawaniwezi ft Becka Tittle.

#rapmusic🎧🎤🎧 #flow #hustlemode#hustlehard #hustle #hiphop 
#rapmusicmademedoit 
#HSHH




💪🏽Rap/HipHop 🤝 Kwenye Ubora na Viwango🔥 🔥🔥🔥  #videoalert🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨📽📽🎥🎥 J YGGA LO Moja ya rapper na Mc mkali anatarajia...
Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz yao, kuna line inasema "Mnyamwez kapoteza passport" Yani awez kusafir atabak Tz tu ,hivyo watu wangu wasinielewe vibaya nlichomaanisha kwenye ngoma.Ukiangalia rais wetu Mh John Pombe Magufuli amekuwa mzalendo kiasi kikubwa basi yapasa tumuige,ndio maana napenda hasa sisi tuwe na hollywood yetu Masaki,Kijiji flani wasanii wanaweza wakaishi goodlife wakashoot bongo mvie zao

Young Daresalama:Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz

Bongo Bahati mbaya nlihamasiha vijana waipende Tz yao, kuna line inasema "Mnyamwez kapoteza passport" Yani awez kusafir atabak Tz ...

New Music;Sina Jambo by Billnass.

http:// youtu.be/-D476h5j4aQ?a  
                   New Msasani Club 19th August 2017 4pm-10pm #hshh 🔥🔥🔥🔥Dont Miss

CYPHER KILINGENI

                   New Msasani Club 19th August 2017 4pm-10pm #hshh 🔥🔥🔥🔥Dont Miss
GHAFLA BIN VUU ANAFANYA VIZURI track yake mpya “YOTE HERI,” Akiwakilisha vyema block za udongo A-town ghafla anaamini kuwa mtaa unahitaji maarifa ya kutosha.Tegemea kazi mpya zaidi kutoka kwake.Tear kuna mixtapes mbili mtaani alizowahi achia pamoja na nyimbo ya washindi."Kitu kikubwa ni kutengeneza kitu kizuri na kazi kubwa ni kuwapa kazi watakayopata knowledge" Unaweza kuskiliza interview yake na K-HooD na kutoa maoni yako pia. Asante sana.

Ghafla on a Phone call Interview with K-HooD of HotSwahiliHipHop

GHAFLA BIN VUU ANAFANYA VIZURI track yake mpya “YOTE HERI,” Akiwakilisha vyema block za udongo A-town ghafla anaamini kuwa mtaa unahita...
Produceer wa music wa hiphop Tanzania mkali @Cjamokertz amezindua clothing line yake aliyoipa jina la #CjamokerWear. Huu ni muendelezo tu wa wa ujasiriamali katika game ya HipHop. Si kitu kigeni kwani hata game ya mbele kumewahi kuwa na clothing line tofauti na zikafanya vizuri. Kama unahitaji Tshirt za #CjamokerWear Fanya kupiga namba hii 0621507339 au WhatsApp 0783164761. #supportUreOwn. Karibu katika blog yetu kila siku na usikose kutembelea page zetu za facebook,twitter na instagram. Ahsante

NEW CJAMOKER WEAR CLOTHING LINE

Produceer wa music wa hiphop Tanzania mkali @Cjamokertz amezindua clothing line yake aliyoipa jina la #CjamokerWear. Huu ni muendelezo tu ...

 

© 2015 - Distributed By Free Blogger Templates | Lyrics | Songs.pk | Download Ringtones | HD Wallpapers For Mobile